Native Bible

Psalms 95:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake leo,

Psalms 95:7 in English

Psalms 95:7 · Berean Standard Bible

For He is our God, and we are the people of His pasture, the sheep under His care. Today, if you hear His voice,

Context

5Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu. 6Njooni, tusujudu, tumwabudu, tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu, 7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake leo, 8msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba,* kama mlivyofanya siku ile kule Masa* jangwani, 9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.