Zaburi 95:6
Psalms 95:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njooni, tusujudu, tumwabudu, tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu,
Psalms 95:6 in English
Psalms 95:6 · Berean Standard Bible
O come, let us worship and bow down; let us kneel before the LORD our Maker.
Context
4Mkononi mwake mna vilindi vya dunia,
na vilele vya milima ni mali yake. 5Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya,
na mikono yake iliumba nchi kavu. 6Njooni, tusujudu, tumwabudu,
tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu, 7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu,
na sisi ni watu wa malisho yake,
kondoo chini ya utunzaji wake.
Kama mkiisikia sauti yake leo, 8msiifanye mioyo yenu migumu
kama mlivyofanya kule Meriba,*
kama mlivyofanya siku ile
kule Masa* jangwani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.