Zaburi 95:4
Psalms 95:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake.
Psalms 95:4 in English
Psalms 95:4 · Berean Standard Bible
In His hand are the depths of the earth, and the mountain peaks belong to Him.
Context
2Tuje mbele zake kwa shukrani,
tumtukuze kwa vinanda na nyimbo. 3Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu,
mfalme mkuu juu ya miungu yote. 4Mkononi mwake mna vilindi vya dunia,
na vilele vya milima ni mali yake. 5Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya,
na mikono yake iliumba nchi kavu. 6Njooni, tusujudu, tumwabudu,
tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.