Native Bible

Psalms 95:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu.

Psalms 95:5 in English

Psalms 95:5 · Berean Standard Bible

The sea is His, for He made it, and His hands formed the dry land.

Context

3Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote. 4Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake. 5Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu. 6Njooni, tusujudu, tumwabudu, tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu, 7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake leo,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.