Native Bible

Psalms 95:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.

Psalms 95:2 in English

Psalms 95:2 · Berean Standard Bible

Let us enter His presence with thanksgiving; let us make a joyful noise to Him in song.

Context

1Njooni, tumwimbie Bwana kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu. 2Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo. 3Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote. 4Mkononi mwake mna vilindi vya dunia, na vilele vya milima ni mali yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.