Native Bible

Psalms 95:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba,* kama mlivyofanya siku ile kule Masa* jangwani,

Psalms 95:8 in English

Psalms 95:8 · Berean Standard Bible

do not harden your hearts as you did at Meribah,* in the day at Massah in the wilderness,*

Context

6Njooni, tusujudu, tumwabudu, tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu, 7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake leo, 8msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba,* kama mlivyofanya siku ile kule Masa* jangwani, 9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu. 10Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile, nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka, nao hawajazijua njia zangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.