Native Bible

Psalms 95:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu.

Psalms 95:9 in English

Psalms 95:9 · Berean Standard Bible

where your fathers tested and tried Me, though they had seen My work.

Context

7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, na sisi ni watu wa malisho yake, kondoo chini ya utunzaji wake. Kama mkiisikia sauti yake leo, 8msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya kule Meriba,* kama mlivyofanya siku ile kule Masa* jangwani, 9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu. 10Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile, nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka, nao hawajazijua njia zangu.” 11Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.