Zaburi 95:11
Psalms 95:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Psalms 95:11 in English
Psalms 95:11 · Berean Standard Bible
So I swore on oath in My anger, “They shall never enter My rest.”*
Context
9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima,
ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu. 10Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile,
nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka,
nao hawajazijua njia zangu.” 11Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu,
“Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.