Native Bible

Psalms 94:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima.

Psalms 94:6 in English

Psalms 94:6 · Berean Standard Bible

They kill the widow and the foreigner; they murder the fatherless.

Context

4Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 5Ee Bwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako. 6Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima. 7Nao husema, “Bwana haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.” 8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.