Native Bible

Psalms 94:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao husema, “Bwana haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.”

Psalms 94:7 in English

Psalms 94:7 · Berean Standard Bible

They say, “The LORD does not see; the God of Jacob pays no heed.”

Context

5Ee Bwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako. 6Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima. 7Nao husema, “Bwana haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.” 8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima? 9Je, aliyeweka sikio asisikie? Aliyeumba jicho asione?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.