Native Bible

Psalms 94:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako.

Psalms 94:5 in English

Psalms 94:5 · Berean Standard Bible

They crush Your people, O LORD; they oppress Your heritage.

Context

3Hata lini, waovu, Ee Bwana, hata lini waovu watashangilia? 4Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 5Ee Bwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako. 6Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima. 7Nao husema, “Bwana haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.