Native Bible

Psalms 94:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata lini, waovu, Ee Bwana, hata lini waovu watashangilia?

Psalms 94:3 in English

Psalms 94:3 · Berean Standard Bible

How long will the wicked, O LORD, how long will the wicked exult?

Context

1Ee Bwana, ulipizaye kisasi, Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa. 2Ee Mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili. 3Hata lini, waovu, Ee Bwana, hata lini waovu watashangilia? 4Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 5Ee Bwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.