Native Bible

Psalms 94:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili.

Psalms 94:2 in English

Psalms 94:2 · Berean Standard Bible

Rise up, O Judge of the earth; render a reward to the proud.

Context

1Ee Bwana, ulipizaye kisasi, Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa. 2Ee Mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili. 3Hata lini, waovu, Ee Bwana, hata lini waovu watashangilia? 4Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.