Zaburi 94:8
Psalms 94:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima?
Psalms 94:8 in English
Psalms 94:8 · Berean Standard Bible
Take notice, O senseless among the people! O fools, when will you be wise?
Context
6Wanamchinja mjane na mgeni,
na kuwaua yatima. 7Nao husema, “Bwana haoni,
Mungu wa Yakobo hafahamu.” 8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu;
enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima? 9Je, aliyeweka sikio asisikie?
Aliyeumba jicho asione? 10Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu?
Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.