Zaburi 91:4
Psalms 91:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.
Psalms 91:4 in English
Psalms 91:4 · Berean Standard Bible
He will cover you with His feathers; under His wings you will find refuge; His faithfulness is a shield and rampart.
Context
2Nitasema kumhusu Bwana, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu,
Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.” 3Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji,
na maradhi ya kuambukiza ya kuua. 4Atakufunika kwa manyoya yake,
chini ya mbawa zake utapata kimbilio,
uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako. 5Hutaogopa vitisho vya usiku,
wala mshale urukao mchana, 6wala maradhi ya kuambukiza
yanayonyemelea gizani,
wala tauni iharibuyo adhuhuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.