Zaburi 91:5
Psalms 91:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana,
Psalms 91:5 in English
Psalms 91:5 · Berean Standard Bible
You will not fear the terror of the night, nor the arrow that flies by day,
Context
3Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji,
na maradhi ya kuambukiza ya kuua. 4Atakufunika kwa manyoya yake,
chini ya mbawa zake utapata kimbilio,
uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako. 5Hutaogopa vitisho vya usiku,
wala mshale urukao mchana, 6wala maradhi ya kuambukiza
yanayonyemelea gizani,
wala tauni iharibuyo adhuhuri. 7Ijapo watu elfu wataangukia kando yako,
kumi elfu mkono wako wa kuume,
lakini haitakukaribia wewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.