Native Bible

Psalms 90:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi:

Psalms 90:5 in English

Psalms 90:5 · Berean Standard Bible

You whisk them away in their sleep; they are like the new grass of the morning—

Context

3Huwarudisha watu mavumbini, ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” 4Kwa maana kwako miaka elfu ni kama siku moja iliyokwisha pita, au kama kesha la usiku. 5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi: 6ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka. 7Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.