Native Bible

Psalms 90:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka.

Psalms 90:6 in English

Psalms 90:6 · Berean Standard Bible

in the morning it springs up new, but by evening it fades and withers.

Context

4Kwa maana kwako miaka elfu ni kama siku moja iliyokwisha pita, au kama kesha la usiku. 5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi: 6ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka. 7Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako. 8Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.