Native Bible

Psalms 90:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako.

Psalms 90:7 in English

Psalms 90:7 · Berean Standard Bible

For we are consumed by Your anger and terrified by Your wrath.

Context

5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi: 6ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka. 7Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako. 8Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako. 9Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.