Native Bible

Psalms 90:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako.

Psalms 90:8 in English

Psalms 90:8 · Berean Standard Bible

You have set our iniquities before You, our secret sins in the light of Your presence.

Context

6ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka. 7Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako. 8Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako. 9Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza. 10Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, au miaka themanini ikiwa tuna nguvu, lakini yote ni ya shida na taabu, nazo zapita haraka, nasi twatoweka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.