Zaburi 90:3
Psalms 90:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwarudisha watu mavumbini, ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.”
Psalms 90:3 in English
Psalms 90:3 · Berean Standard Bible
You return man to dust, saying, “Return, O sons of mortals.”
Context
1Bwana, wewe umekuwa makao yetu
katika vizazi vyote. 2Kabla ya kuzaliwa milima
au hujaumba dunia na ulimwengu,
wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 3Huwarudisha watu mavumbini,
ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” 4Kwa maana kwako miaka elfu
ni kama siku moja iliyokwisha pita,
au kama kesha la usiku. 5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo,
nao ni kama majani machanga ya asubuhi:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.