Native Bible

Psalms 84:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni.

Psalms 84:7 in English

Psalms 84:7 · Berean Standard Bible

They go from strength to strength, until each appears before God in Zion.

Context

5Heri wale ambao nguvu zao ziko kwako, na njia ziendazo Sayuni zimo mioyoni mwao. 6Wanapopita katika Bonde la Baka,* hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.* 7Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni. 8Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo. 9Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.