Native Bible

Psalms 84:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo.

Psalms 84:8 in English

Psalms 84:8 · Berean Standard Bible

O LORD God of Hosts, hear my prayer; give ear, O God of Jacob. Selah

Context

6Wanapopita katika Bonde la Baka,* hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.* 7Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni. 8Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo. 9Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako. 10Siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku elfu mahali pengine; afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu kuliko kukaa katika mahema ya waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.