Zaburi 84:9
Psalms 84:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako.
Psalms 84:9 in English
Psalms 84:9 · Berean Standard Bible
Take notice of our shield, O God, and look with favor on the face of Your anointed.
Context
7Huendelea toka nguvu hadi nguvu,
hadi kila mmoja afikapo
mbele za Mungu huko Sayuni. 8Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu;
nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo. 9Ee Mungu, uitazame ngao yetu,
mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako. 10Siku moja katika nyua zako ni bora
kuliko siku elfu mahali pengine;
afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu
kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao,
Bwana hutoa wema na heshima;
hakuna kitu chema anachowanyima
wale ambao hawana hatia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.