Native Bible

Psalms 84:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanapopita katika Bonde la Baka,* hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.*

Psalms 84:6 in English

Psalms 84:6 · Berean Standard Bible

As they pass through the Valley of Baca,* they make it a place of springs; even the autumn rain covers it with pools.*

Context

4Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wanaokusifu wewe daima. 5Heri wale ambao nguvu zao ziko kwako, na njia ziendazo Sayuni zimo mioyoni mwao. 6Wanapopita katika Bonde la Baka,* hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.* 7Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni. 8Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.