Native Bible

Psalms 83:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda.

Psalms 83:3 in English

Psalms 83:3 · Berean Standard Bible

With cunning they scheme against Your people and conspire against those You cherish,

Context

1Ee Mungu, usinyamaze kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. 2Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 5Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, wanafanya muungano dhidi yako,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.