Zaburi 83:2
Psalms 83:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao.
Psalms 83:2 in English
Psalms 83:2 · Berean Standard Bible
See how Your enemies rage, how Your foes have reared their heads.
Context
1Ee Mungu, usinyamaze kimya,
usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. 2Tazama watesi wako wanafanya fujo,
jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako,
wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa,
ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.