Native Bible

Psalms 83:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, usinyamaze kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usitulie.

Psalms 83:1 in English

Psalms 83:1 · Berean Standard Bible

O God, be not silent; be not speechless;* be not still, O God.

Context

1Ee Mungu, usinyamaze kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. 2Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.