Native Bible

Psalms 83:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.”

Psalms 83:4 in English

Psalms 83:4 · Berean Standard Bible

saying, “Come, let us erase them as a nation; may the name of Israel be remembered no more.”

Context

2Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 5Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, wanafanya muungano dhidi yako, 6mahema ya Edomu na Waishmaeli, ya Wamoabu na Wahagari,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.