Native Bible

Psalms 83:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, wanafanya muungano dhidi yako,

Psalms 83:5 in English

Psalms 83:5 · Berean Standard Bible

For with one mind they plot together, they form an alliance against You—

Context

3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 5Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, wanafanya muungano dhidi yako, 6mahema ya Edomu na Waishmaeli, ya Wamoabu na Wahagari, 7Gebali,* Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.