Native Bible

Psalms 83:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Gebali,* Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.

Psalms 83:7 in English

Psalms 83:7 · Berean Standard Bible

of Gebal, Ammon, and Amalek, of Philistia with the people of Tyre.

Context

5Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, wanafanya muungano dhidi yako, 6mahema ya Edomu na Waishmaeli, ya Wamoabu na Wahagari, 7Gebali,* Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro. 8Hata Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Loti. 9Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.