Native Bible

Psalms 83:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.

Psalms 83:15 in English

Psalms 83:15 · Berean Standard Bible

so pursue them with Your tempest, and terrify them with Your storm.

Context

13Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, kama makapi yapeperushwayo na upepo. 14Kama vile moto uteketezavyo msitu au mwali wa moto unavyounguza milima, 15wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako. 16Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee Bwana. 17Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.