Native Bible

Psalms 83:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, kama makapi yapeperushwayo na upepo.

Psalms 83:13 in English

Psalms 83:13 · Berean Standard Bible

Make them like tumbleweed, O my God, like chaff before the wind.

Context

11Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, watawala wao kama Zeba na Salmuna, 12ambao walisema, “Na tumiliki nchi ya malisho ya Mungu.” 13Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, kama makapi yapeperushwayo na upepo. 14Kama vile moto uteketezavyo msitu au mwali wa moto unavyounguza milima, 15wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.