Zaburi 83:14
Psalms 83:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama vile moto uteketezavyo msitu au mwali wa moto unavyounguza milima,
Psalms 83:14 in English
Psalms 83:14 · Berean Standard Bible
As fire consumes a forest, as a flame sets the mountains ablaze,
Context
12ambao walisema, “Na tumiliki nchi
ya malisho ya Mungu.” 13Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli,
kama makapi yapeperushwayo na upepo. 14Kama vile moto uteketezavyo msitu
au mwali wa moto unavyounguza milima, 15wafuatilie kwa tufani yako
na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako. 16Funika nyuso zao kwa aibu
ili watu walitafute jina lako, Ee Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.