Zaburi 83:12
Psalms 83:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambao walisema, “Na tumiliki nchi ya malisho ya Mungu.”
Psalms 83:12 in English
Psalms 83:12 · Berean Standard Bible
who said, “Let us possess for ourselves the pastures of God.”
Context
10ambao waliangamia huko Endori
na wakawa kama takataka juu ya nchi. 11Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu,
watawala wao kama Zeba na Salmuna, 12ambao walisema, “Na tumiliki nchi
ya malisho ya Mungu.” 13Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli,
kama makapi yapeperushwayo na upepo. 14Kama vile moto uteketezavyo msitu
au mwali wa moto unavyounguza milima,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.