Zaburi 83:10
Psalms 83:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambao waliangamia huko Endori na wakawa kama takataka juu ya nchi.
Psalms 83:10 in English
Psalms 83:10 · Berean Standard Bible
who perished at Endor and became like dung on the ground.
Context
8Hata Ashuru wameungana nao
kuwapa nguvu wazao wa Loti. 9Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani,
na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini
hapo kijito cha Kishoni, 10ambao waliangamia huko Endori
na wakawa kama takataka juu ya nchi. 11Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu,
watawala wao kama Zeba na Salmuna, 12ambao walisema, “Na tumiliki nchi
ya malisho ya Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.