Native Bible

Psalms 83:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu.

Psalms 83:17 in English

Psalms 83:17 · Berean Standard Bible

May they be ever ashamed and terrified; may they perish in disgrace.

Context

15wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako. 16Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee Bwana. 17Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu. 18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.