Native Bible

Psalms 83:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.

Psalms 83:18 in English

Psalms 83:18 · Berean Standard Bible

May they know that You alone, whose name is the LORD, are Most High over all the earth.

Context

16Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee Bwana. 17Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu. 18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.