Native Bible

Psalms 81:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu,

Psalms 81:13 in English

Psalms 81:13 · Berean Standard Bible

If only My people would listen to Me, if Israel would follow My ways,

Context

11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii. 12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe. 13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu, 14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao! 15Wale wanaomchukia Bwana wangalinyenyekea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.