Native Bible

Psalms 81:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaomchukia Bwana wangalinyenyekea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele.

Psalms 81:15 in English

Psalms 81:15 · Berean Standard Bible

Those who hate the LORD would feign obedience, and their doom would last forever.

Context

13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu, 14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao! 15Wale wanaomchukia Bwana wangalinyenyekea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele. 16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.