Zaburi 81:14
Psalms 81:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!
Psalms 81:14 in English
Psalms 81:14 · Berean Standard Bible
how soon I would subdue their enemies and turn My hand against their foes!
Context
12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao
wafuate mashauri yao wenyewe. 13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza,
kama Israeli wangalifuata njia zangu, 14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka,
na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao! 15Wale wanaomchukia Bwana wangalinyenyekea mbele zake,
na adhabu yao ingedumu milele. 16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora,
na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.