Native Bible

Psalms 81:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe.

Psalms 81:12 in English

Psalms 81:12 · Berean Standard Bible

So I gave them up to their stubborn hearts to follow their own devices.

Context

10Mimi ni Bwana Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza. 11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii. 12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe. 13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu, 14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.