Zaburi 81:11
Psalms 81:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii.
Psalms 81:11 in English
Psalms 81:11 · Berean Standard Bible
But My people would not listen to Me, and Israel would not obey Me.
Context
9Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu;
msimsujudie mungu wa kigeni. 10Mimi ni Bwana Mungu wako,
niliyekutoa nchi ya Misri.
Panua sana kinywa chako
nami nitakijaza. 11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza;
Israeli hakutaka kunitii. 12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao
wafuate mashauri yao wenyewe. 13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza,
kama Israeli wangalifuata njia zangu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.