Native Bible

Psalms 81:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; msimsujudie mungu wa kigeni.

Psalms 81:9 in English

Psalms 81:9 · Berean Standard Bible

There must be no strange god among you, nor shall you bow to a foreign god.

Context

7Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa, nilikujibu katika mawingu yenye ngurumo; nilikujaribu katika maji ya Meriba. 8“Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya: laiti kama mngenisikiliza, ee Israeli! 9Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; msimsujudie mungu wa kigeni. 10Mimi ni Bwana Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza. 11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.