Native Bible

Psalms 81:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”

Psalms 81:16 in English

Psalms 81:16 · Berean Standard Bible

But I would feed you the finest wheat; with honey from the rock I would satisfy you.”

Context

14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao! 15Wale wanaomchukia Bwana wangalinyenyekea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele. 16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.