Native Bible

Psalms 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha,

Psalms 8:3 in English

Psalms 8:3 · Berean Standard Bible

When I behold Your heavens, the work of Your fingers, the moon and the stars, which You have set in place—

Context

1Ee Bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! Umeuweka utukufu wako juu ya mbingu. 2Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi. 3Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha, 4mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali? 5Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.