Native Bible

Psalms 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi.

Psalms 8:2 in English

Psalms 8:2 · Berean Standard Bible

From the mouths of children and infants You have ordained praise * on account of Your adversaries, to silence the enemy and avenger.

Context

1Ee Bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! Umeuweka utukufu wako juu ya mbingu. 2Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi. 3Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha, 4mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.