Native Bible

Psalms 8:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?

Psalms 8:4 in English

Psalms 8:4 · Berean Standard Bible

what is man that You are mindful of him, or the son of man that You care for him?

Context

2Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi. 3Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha, 4mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali? 5Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima. 6Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.