Native Bible

Psalms 78:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliachia watu wake wauawe kwa upanga, akaukasirikia sana urithi wake.

Psalms 78:62 in English

Psalms 78:62 · Berean Standard Bible

He surrendered His people to the sword because He was enraged by His heritage.

Context

60Akaiacha hema ya Shilo, hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu. 61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, utukufu wake mikononi mwa adui. 62Aliachia watu wake wauawe kwa upanga, akaukasirikia sana urithi wake. 63Moto uliwaangamiza vijana wao, na wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi, 64makuhani wao waliuawa kwa upanga, wala wajane wao hawakuweza kulia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.