Zaburi 78:64
Psalms 78:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
makuhani wao waliuawa kwa upanga, wala wajane wao hawakuweza kulia.
Psalms 78:64 in English
Psalms 78:64 · Berean Standard Bible
His priests fell by the sword, but their widows could not lament.
Context
62Aliachia watu wake wauawe kwa upanga,
akaukasirikia sana urithi wake. 63Moto uliwaangamiza vijana wao,
na wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi, 64makuhani wao waliuawa kwa upanga,
wala wajane wao hawakuweza kulia. 65Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini,
kama vile mtu aamkavyo kutoka kwenye bumbuazi la mvinyo. 66Aliwapiga na kuwashinda adui zake,
akawatia katika aibu ya milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.